1 John 2:22

22 aJe, mwongo ni nani? Mwongo ni mtu yule asemaye kwamba Isa si Al-Masihi. Mtu wa namna hiyo ndiye anayempinga Al-Masihi, yaani, yeye humkana Baba na Mwana.
Copyright information for SwhKC